Colossians 3:1-3

Kanuni Za Kuishi Maisha Matakatifu

1 aBasi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Al-Masihi, yatafuteni yaliyo juu, Al-Masihi alikoketi mkono wa kuume wa Mungu. 2 bYafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani. 3 cKwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Al-Masihi katika Mungu.
Copyright information for SwhKC